Acts 2:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Frugia na Pamfulia, Misri na sehemu za Libia karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libia karibu na Kirene, na wageni kutoka Rumi
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Frigia na Pamfilia, Misri na pande za Libia karibu na Kirene, na wageni watokao Rumi, Wayahudi na waongofu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Frigia, Pamfilia, Misri na maeneo ya Libya karibu na mji wa Kirene, Rumi,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Frugia na Pamfulia, Misri na sehemu za Libya karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Frugia na Pamfulia, Misri na sehemu za Libia karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene na wageni kutoka Rumi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene na wageni kutoka Rumi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Frigia na Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene, na wageni watokao Rumi, Wayahudi na waongofu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Frugia na Pamfulia, Misri na sehemu za Libia karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Furigia na Pamfilia, Misri na pande za Libia zinazoelekea Kirene, sisi Waroma tunaokaa ugenini huku,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Frigia na Pamfilia, Misri na pande za Libia karibu na Kirene, na wageni watokao Rumi, Wayahudi na waongofu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Furigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kurene. Vilevile kuna wageni waliotoka Roma,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Frugia na Pamfulia, Misri na pande za Libua karibu na Kurene, na Warumi wageni, Wayahudi na Waongofu,