Acts 2:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitaonesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nitafanya maajabu juu angani. Nitasababisha ishara chini duniani. Kutakuwa damu, moto na moshi mzito.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitaonyesha maajabu mbinguni juu na ishara duniani chini, damu, moto na mvuke wa moshi mnene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni, na ishara chini duniani: damu, moto, na mawimbi ya moshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatenda miujiza juu angani, na ishara chini duniani; kutakuwa na damu, moto na moshi mzito;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitafanya vioja juu mbinguni na vielekezo chini katika nchi, vyenye damu na moto na moshimoshi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nitafanya maajabu juu katika mbingu na vitambulisho chini katika dunia: kutakuwa damu, moto na moshi mwingi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nitatoa ajabu katika mbingu juu, Na ishara katika inchi chini, Damu na moto, na mvuke wa moshi: