Acts 2:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi, akiona mambo yaliyo mbele, akanena kuhusu kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Daudi aliliona hili kabla halijatokea. Ndiyo maana alisema hivi kuhusu mfalme ajaye: ‘Hakuachwa kaburini. Mwili wake haukuozea humo.’ Daudi alizungumza kuhusu Masihi kufufuka kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo aliyaona mbele, yakingali nyuma bado, akayasema na kuuelekea ufufuko wake Kristo, kwani hakuachwa kuzimuni, wala mwili wake haukupata kuoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yeye mwenyewe akitangulia kuyaona haya, alitaja habari za kufufuka kwake Kristo, ya kwamba roho yake haikuachwa kuzimu, wala mwili wake haukuona uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliona kwa mbali yale yatakayotokea, ni kwa sababu hii alisema maneno haya juu ya ufufuko wa Kristo: ‘Hakuachiliwa kubaki katika kuzimu, wala mwili wake haukuoza.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akitangulia kuyaona haya, alitaja khabari za kufufuka kwake Kristo, ya kama roho yake haikuachwa katika kuzimu, wala mwili wake hankuona uharibifu,