Acts 2:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Daudi hakuchukuliwa mpaka mbinguni. Daudi mwenyewe alisema, ‘Bwana Mungu alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kuume
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘BWANA alimwambia Bwana wangu: “Keti upande wangu wa kuume,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘ bwana Mwenyezi alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti upande wa mkono wangu wa kuume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Dawidi hakupaa mbinguni, lakini anasema mwenyewe:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti upande wa mkono wangu wa kuume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Daudi mwenyewe hakupanda mbinguni, lakini alisema: ‘Bwana wetu Mungu alimwambia Bwana wangu: Ikaa na mamlaka kwa kuume kwangu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana Daud hakupanda mbinguni: bali yeye mwenyewe amesema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume.