Acts 2:44 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waumini wote walikuwa mahali pamoja, nao wakashirikiana katika mambo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waamini wote walikaa pamoja, na kushirikiana kila kitu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawana pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote kishirika,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote waliomtegemea Bwana walikuwa pamoja, navyo vyote wakavifanyia bia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wanafunzi wote waliishi katika umoja na katika ushirika wa vitu vyao vyote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,