Acts 2:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakiwa wameshangaa na kustaajabu, wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote walilishangaa hili. Hawakuelewa ni kwa namna gani mitume waliweza kufanya hili. Wakaulizana, “Tazama! Watu wote hawa tunaowasikia wanatoka Galilaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walistaajabu na kushangaa, wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiwa wameshangaa na kustaajabu wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakiwa wameshangaa na kustaajabu wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakastuka na kustaajabu wakisema: Kumbe hawa wote wanaosema sio Wagalilea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Tazama, hawa wote wasemao si Wagalilaya?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakashituka na kushangaa, wakisema: “Hawa wote wanaosema si wazaliwa wa Galilaya?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Si hawa wote wasemao Wagalilaya?