Acts 20:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamleta yule kijana, yu mzima, wakafarijika faraja kubwa sana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi wa Bwana walimpeleka Eutiko nyumbani akiwa hai, walifarijika sana wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamleta yule kijana, akiwa mzima, wakafarijika faraja kubwa sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule kijana walimleta, yuko mzima, kwa hiyo mioyo yao ikawatulia kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamleta yule kijana, yu mzima, wakafarijika faraja kubwa sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakarudi na yule kijana, akiwa muzima nao wakafarijiwa sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamleta yule kijana, yu mzima, wakafarajika faraja kubwa sana.