Acts 20:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipotukuta huko Aso, alijiunga nasi kwenye meli, tukasafiri hadi Mitilene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alipotukuta Asso, aliungana nasi na tulipanda meli pamoja naye, na sote tulitweka tanga kwenda Mitelene.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini tukasafiri wote mpaka Mitilene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipokutana nasi huko Aso, tukampakia, tukafika Mitilene.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipotufikia huko Aso, tukampakia, kisha tukafika Mitilene.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokuwa Asosi, tukamwingiza ndani ya chombo na kwenda pamoja naye mpaka Mitilene.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipotufikia huko Asso, tukampokea, tukafika Mitulene.