Acts 20:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka huko tuliendelea kwa meli, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata, tulitweka tanga kutoka pale na kufika karibu na kisiwa cha Kio. Kisha siku iliyofuata tulitweka tanga kwenda kwenye kisiwa Samosi. Baada ya siku moja tukafika kwenye mji wa Mileto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka huko tuliendelea kwa njia ya bahari na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo na kesho yake tukawasili Mileto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka huko tuliendelea kwa njia ya bahari, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukatweka huko, kesho yake tukaelekea Kio; kesho kutwa tukatia nanga Samo, tukakaa Tirogilio, mtondogoo tukafika Mileto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake tukaondoka kule kwa njia ya chombo na kufika kwenye kisanga cha Kio, na kesho kutwa tukafika kwenye kisanga cha Samosi. Na siku iliyofuata tukafika Mileto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio: siku ya pili yake tukawasili Samos, tukakaa Trogullio, siku ya pili tukafika Mileto.