Acts 20:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Paulo akiwa Mileto, alituma mjumbe kwenda Efeso kuwaita wazee wa kundi la waumini waje wakutane naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka Mileto Paulo akatuma watu kwenda Efeso, akawaita wazee wa kanisa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tukiwa Mileto Paulo alitume ujumbe kwenda Efeso, akiwaambia wazee wa kanisa la Efeso waje kwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Paulo akiwa Mileto, akatuma ujumbe kwenda Efeso kuwaita wazee wa kanisa waje wakutane naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Paulo akiwa Mileto, alituma mjumbe kwenda Efeso kuwaita wazee wa kundi la waumini waje wakutane naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka Mileto Paulo akatuma watu kwenda Efeso, akawaita wazee wa kanisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Lakini toka Mileto alituma mtu Efeso kuwaita wazee wa wateule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka Mileto Paulo akatuma watu kwenda Efeso, akawaita wazee wa kanisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Toka Mileto, akatuma ujumbe Efeso kwa kuwaita wazee wa kanisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Toka Mileto Faolo akatuma watu kwenda hatta Efeso, akawaita wazee wa Kanisa.