Acts 20:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipitia sehemu za nchi zile akiwatia watu moyo kwa maneno mengi. Halafu akafika Ugiriki
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipita katika sehemu zile, akinena na watu maneno mengi ya kuwatia moyo. Ndipo hatimaye akawasili Uyunani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiisha kupita pande zile na kuwafariji kwa maneno mengi, akafika Uyunani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika safari yake kupitia Makedonia alikuwa na maneno mengi ya kuwatia moyo wafuasi sehemu mbalimbali. Kisha alikwenda Uyunani
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipitia sehemu za nchi zile akiwatia watu moyo kwa maneno mengi. Halafu akafika Ugiriki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipitia sehemu za nchi zile akiwatia watu moyo kwa maneno mengi. Halafu akafika Ugiriki
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipopita katika sehemu zile, akinena na watu maneno mengi ya kuwatia moyo, ndipo hatimaye akawasili Uyunani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipita katika sehemu zile, akinena na watu maneno mengi ya kuwatia moyo. Ndipo hatimaye akawasili Uyunani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiisha kupita pande zile na kuwafariji kwa maneno mengi, akafika Ugiriki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipitia sehemu za nchi zile akiwatia watu moyo kwa maneno mengi. Halafu akafika Ugiriki
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akapita pande zile akiwatuliza mioyo na kuwaambia maneno mengi, kisha akafidka Ugriki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiisha kupita pande zile na kuwafariji kwa maneno mengi, akafika Uyunani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipita katika inchi ile akiwaambia wanafunzi maneno mengi ya kuwatia moyo. Kisha akaenda Ugriki,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na, akiisha kupita pande zile na kuwafariji kwa maneno mengi, akafika Uyunani.