Acts 20:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwaonya wote — Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani wamtubie Mungu, na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilimwambia kila mtu, Myahudi na Myunani, kubadilika na wakamgeukia Mungu. Niliwaambia wote wamwamini Bwana wetu Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Niliwaonya wote—Wayahudi kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwaonya wote — Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimewashuhudia Wayahudi na Wayunani kwamba inawapasa kumgeukia Mwenyezi Mungu kwa kutubu dhambi na kumwamini Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikiwashuhudia Wayahudi na Wagiriki wamtubie Mungu, na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwaonya wote – Wayahudi, kadhalika na watu wa mataifa, wamgeukie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ushahidi wangu nimewahimiza Wayuda na Wagriki, wajute na kurudi kwake Mungu, tena wamtegemee Bwana wetu Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani wamtubie Mungu, na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimewaonya Wayuda wa mataifa mengine kwamba wanapaswa kumugeukia Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani toba iliyo kwa Mungu, na imani iliyo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.