Acts 20:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ila ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu wa Mungu amenionya kuwa vifungo na mateso vinaningoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninafahamu kitu kimoja kwamba katika kila mji Roho Mtakatifu huniambia kwamba matatizo na hata kufungwa gerezani kunanisubiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ila ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu amenionya kuwa vifungo na mateso vinaningoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ila ninachojua tu ni kwamba Roho wa Mwenyezi Mungu amenionya kuwa vifungo na mateso vinaningoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naijua hii tu, ya kuwa Roho Mtakatifu hunishuhudia mijini mote, nifikamo, kwamba: Mapingu na maumivu yananingoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
isipokuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na dhiki vyaningoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kitu kimoja ninachojua tu, ni kwamba katika kila muji Roho Mutakatifu ananihakikishia kwamba vifungo na mateso vinaningojea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illa ya kuwa Roho Mtakatifu mji kwa mji hunishuhudia akisema, ya kwamba vifungo na mateso yaningoja.