Acts 20:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nawatangazia leo, sina hatia ya damu ya mtu yeyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo leo ninaweza kuwaambia kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho: Mungu hatanilaumu ikiwa baadhi yenu hamtaokoka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nawaambieni leo hii kwamba sina hatia ya damu ya mtu awaye yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nawatangazia leo, sina hatia ya damu ya mtu awaye yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ninawaambia waziwazi siku hii ya leo kwamba: Ninyi nyote hakuna, ambaye ninawiwa naye damu ya mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina hatia kwa damu ya mtu awaye yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo maana ninahakikisha mbele yenu leo kwamba mimi sitabeba lazima ya damu ya hata mumoja wenu atakayepotea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina khatiya kwa damu ya mtu aliye yote.