Acts 20:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusu-busu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walilia sana. Kilichowahuzunisha sana ilikuwa kauli ya Paulo alipowaambia kuwa hawatamwona tena. Walimkumbatia na kumbusu. Kisha walikwenda pamoja naye mpaka kwenye meli na wakaagana naye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wote walikuwa wanalia; wakamwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusubusu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wakalia sana, wakamkumbatia Paulo lshingoni, wakamnonea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusu-busu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wote walilia sana wakimukumbatia na kumubusu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakalia sana wote, wakamwangukia Paolo shingoni, wakambusu,