Acts 21:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kukaa huko siku kadhaa, nabii mmoja aitwaye Agabo alifika kutoka Yudea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kukaa kwa siku kadhaa, nabii aliyeitwa Agabo akateremka kutoka Yudea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Uyahudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kuwa pale kwa siku kadhaa, nabii aliyeitwa Agabo alikuja kutoka Uyahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kukaa huko siku kadhaa, nabii mmoja aitwaye Agabo alifika kutoka Yudea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kukaa huko siku kadhaa, nabii mmoja aitwaye Agabo alifika kutoka Yudea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kukaa kwa siku kadhaa, akatelemka nabii mmoja kutoka Uyahudi jina lake Agabo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kukaa kwa siku kadhaa, akateremka nabii mmoja kutoka Uyahudi, jina lake Agabo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Yudea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kukaa huko siku kadhaa, nabii mmoja aitwaye Agabo alifika kutoka Yudea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi tulipokaa siku nyingi kwake, pakashuka mfumbuaji toka Yudea, jina lake Agabo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Uyahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nasi tulipokuwa tumekwisha kukaa kule siku nyingi, nabii mumoja, aliyeitwa Agabo, akafika kutoka Yudea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Yahudi.