Acts 21:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulienda kumwona Yakobo, na wazee wote walikuwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata siku ya pili yake Paulo akaingia kwa Yakobo pamoja nasi, na wazee wote walikuwako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata Paulo alikwenda pamoja nasi kumtembelea Yakobo. Wazee wote walikuwepo pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwako pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulikwenda kumwona Yakobo na wazee wote wa kanisa walikuwepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake Paulo pamoja na wengine wetu tulikwenda kumwona Yakobo, na wazee wote walikuwepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata kesho yake Paulo akaingia kwa Yakobo pamoja nasi, na wazee wote walikuwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwapo pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake Paulo akaingia mwa Yakobo pamoja nasi, nao wazee wote walikuwamo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku ya pili yake Paulo akaingia kwa Yakobo pamoja nasi, na wazee wote walikuwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake tukaenda pamoja na Paulo kwa Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwa kule vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta siku ya pili yake Paolo akaingia kwa Yakobo pamoja naswi, na wazee wote walikuwako.