Acts 21:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri kuwa watapata habari kwamba umekwisha wasili hapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa tufanyeje? Bila shaka watasikia kwamba umekuja Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ni nini? Bila shaka watasikia kwamba umekuja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tufanye nini? Wafuasi wayahudi hapa watajua kuwa umekuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri kuwa watapata habari kwamba umekwisha wasili hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri kuwa watapata habari kwamba umekwisha wasili hapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa tufanyeje? Bila shaka watasikia kwamba umekuja Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa tufanyeje? Bila shaka watasikia kwamba umekuja Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ni nini? Bila shaka watasikia kwamba umekuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri kuwa watapata habari kwamba umekwisha wasili hapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, iko nini inayofaa? Sharti kundi hilo zima likusanyike, kwani hawatakosa kusikia, ya kuwa umekuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ni nini? Bila shaka watasikia kwamba umekuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika watu wale watasikia kwamba umekwisha kufika. Basi tufanye nini?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, ni nini? Bila shaka mkutano hauna buddi kukutanika, kwa maana watasikia kwamba umekuja.