Acts 21:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tuna watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo tutakwambia nini cha kufanya: Watu wanne miongoni mwa watu wetu wameweka nadhiri kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ufanye, tutakavyokuambia! Tunao waume wanne wenye jambo, waliloliagana na Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi fanya neno hili tunalokuambia. Wako kwetu watu wanne waliofungwa na nadhiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, ufanye kama hivi tunavyotaka kukuambia. Hapa tuko na watu wane waliofanya kiapo mbele ya Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi fanya neno hili tunalokuambia: Wako kwetu watu wane waliofungwa na nadhiri.