Acts 21:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuagana, tukapanda kwenye meli, nao wakarudi manyumbani mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na baada ya kuagana tukapanda merikebuni, nao wakarudi kwao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na tukaagana. Kisha tukaingia melini, na wafuasi wa Bwana wakarudi nyumbani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli nao wakarudi makwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na baada ya kuagana tukapanda melini, nao wakarudi kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukaagana nao, tukaingia chomboni, lakini wale wakarudi kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na baada ya kuagana tukapanda merikebuni, nao wakarudi kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuagana, tukaingia ndani ya chombo, nao wakarudi kwao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na baada ya kuagana tukapanda merikebuni, nao wakarudi kwao.