Acts 21:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tukaendelea na safari yetu toka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu ndugu wa huko, tukakaa nao kwa siku moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawaamkua ndugu tukakaa kwao siku moja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro na kwenda katika mji wa Ptolemai. Tuliwasalimu waamini pale na kukaa nao kwa siku moja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sisi tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tukaendelea na safari yetu toka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu wanafunzi wa huko tukakaa nao kwa siku moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tukaendelea na safari yetu toka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu ndugu wa huko, tukakaa nao kwa siku moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawaamkia ndugu tukakaa kwao siku moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai ambapo tuliwasalimu ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi tulipokwisha kuimaliza safari ya baharini tukatoka Tiro, tukafika Putolemai, tukawaamkia ndugu, tukakaa kwao siku moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata tulipomaliza safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawaamkua ndugu tukakaa kwao siku moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Tiro tukaendelea hata tukafika Tolemai. Na pale tukamaliza safari yetu ya bahari. Kule tulisalimia wandugu zetu waamini na kukaa nao muda wa siku moja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta tulipomaliza safari yetu kutoka Troa tukafika Ptolemai, tukawasalimu ndugu tukakaa kwao siku moja.