Acts 21:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwa na mabinti wanne mabikira waliokuwa na karama ya kutabiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alikuwa na binti watatu ambao walikuwa na kipaji cha unabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Filipo alikuwa na binti wanne mabikira ambao walikuwa wanatoa unabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu huyu alikuwa na wana wa kike wanne, walikuwa wasichana wenye kufumbua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye alikuwa na wabinti wane waliokuwa hawajaolewa waliokuwa na zawadi ya kutabiri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu huyu alikuwa na binti wane, mabikira, waliotabiri.