Acts 22:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa nilikuwa siwezi kuona kwa ajili ya mng’ao wa ile nuru, wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza kuingia Dameski.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fahari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikaingia Dameski.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sikuweza kuona kwa sababu mwanga ule angavu ulinilemaza macho. Hivyo wale watu waliokuwa pamoja nami waliniongoza kuingia mjini Dameski.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa nilikuwa siwezi kuona kwa ajili ya mng'ao wa ile nuru, wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza kuingia Dameski.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa nilikuwa siwezi kuona kwa ajili ya mng’ao wa ile nuru, wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza kuingia Dameski.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fahari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikaingia Dameski.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, nilivyokuwa sioni kwa kumetuka kwake ule mwanga, nikashikwa mkono na wenzangu, nikaingia Damasko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fahari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikaingia Dameski.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa kuwa nilikuwa sioni tena kwa sababu ya ukali wa ule mwangaza, wenzangu wakanishika mukono na kuniongoza mpaka nikafika Damasiki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fakhari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikafika Dameski.