Acts 22:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Sauli, pata kuona tena!’ Nami mara hiyo nikaweza kumwona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanijia, akasimama karibu nami, akaniambia, Ndugu yangu Sauli, uone. Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuja kwangu na kuniambia, ‘Sauli, ndugu yangu, tazama juu na uone tena!’ Ghafla niliweza kumwona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema: Ndugu Saulo! Ona tena. Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
alisimama karibu nami akasema, ‘Ndugu Sauli, upate kuona tena!’ Saa ile ile nikapata kuona tena, nami nikaweza kumwona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Sauli, pata kuona tena!’ Saa ile ile nikapata kuona tena, nami nikaweza kumwona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanijia, akasimama karibu nami, akaniambia, Ndugu yangu Sauli, pata kuona tena. Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema, ‘Ndugu Saulo! Ona tena.’ Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo akanijia, akasimama mbele yangu, akaniambia: Ndugu yangu Sauli, uwe mwenye kuona! Nami saa ileile nikapata kuona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanijia, akasimama karibu nami, akaniambia, Ndugu yangu Sauli, uone. Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akanifikia, akasimama karibu nami na kuniambia: ‘Ndugu yangu Saulo, upate kuona tena!’ Na saa ile ile nikapata kuona na kuweza kumwona.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikamwinulia macho yangu saa ile ile.