Acts 22:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Damu ya shahidi wako Stefano ilipomwagwa, mimi mwenyewe nilikuwa nimesimama kando, nikikubaliana na kitendo hicho na kutunza mavazi ya wale waliomuua.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali, na kuzitunza nguo zao waliomwua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wanajua pia kuwa nilikuwepo wakati Stefano shahidi wako, alipouawa. Nilisimama pale na kukubaliana nao kuwa wamwue. Nilishikilia hata mavazi ya watu waliokuwa wanamwua!’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati damu ya shahidi wako Stefano ilipomwagwa, mimi mwenyewe nilikuwa nimesimama kando, nikikubaliana na kitendo hicho na kutunza mavazi ya wale waliomwua.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati damu ya shahidi wako Stefano ilipomwagwa, mimi mwenyewe nilikuwa nimesimama kando, nikikubaliana na kitendo hicho na kutunza mavazi ya wale waliomuua.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali, na kuzitunza nguo zao waliomwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo, damu ya shahidi wako Stefano ilipomwagwa, mimi mwenyewe nilikuwa nimesimama hapohapo kwa kupendezwa, nikayalinda mavazi yao wale waliomvua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali, na kuzitunza nguo zao waliomwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wakati watu walipomwua Stefano, aliyetoa ushuhuda juu yako, mimi mwenyewe nilikuwa pale, nami nilikuwa nimekubaliana nao juu ya kuuawa kwake. Na zaidi ya ile ni mimi niliyechunga nguo za wale waliomwua.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na damu ya Stefano shahidi wako ilipomwagwa, mimi nami nilikuwa nikisimama karibu, nikikubali auawe, nikizitunza nguo zao waliomwua.