Acts 22:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo Bwana Isa akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaniambia, Enenda zako; kwa kuwa mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa Mataifa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akaniambia, ‘Ondoka sasa. Nitakutuma mbali sana kwa watu wasio Wayahudi.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Bwana akaniambia: Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa mengine.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo Bwana akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu Mataifa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo Bwana Isa akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaniambia, Nenda zako; kwa kuwa mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa Mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akaniambia: Enenda tu! Kwani mimi nitakutuma, uende mbali kwa wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaniambia, Enenda zako; kwa kuwa mimi nitakutuma uende mbali kwa watu wa Mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Bwana akaniambia: ‘Kwenda, kwa maana nitakutuma mbali kwa watu wa mataifa mengine.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akaniambia, Enenda zako; kwa kuwa mimi nitakutuma mbali kwa watu wa mataifa.