Acts 22:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule jemadari akaja akamuuliza Paulo, “Niambie, wewe ni raia wa Rumi?” Paulo akajibu, “Naam, hakika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jemadari akaja, akamwuliza, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndiyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kamanda akaenda kwa Paulo na kusema, “Niambie kwa hakika, ‘Je, wewe ni raia wa Rumi?’” Paulo akajibu, “Ndiyo.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule jemadari akaja akamwuliza Paulo, “Niambie, wewe ni raia wa Rumi?” Paulo akajibu, “Naam, hakika ndiyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule jemadari akaja akamuuliza Paulo, “Niambie, wewe ni raiya wa Rumi?” Paulo akajibu, “Naam, hakika ndiyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jemadari akaja, akamwuliza, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa kikosi akamwendea, akamwambia: Niambie, wewe u Mroma? Naye akasema: Ndio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jemadari akaja, akamwuliza, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi jemadari akamwendea Paulo kumwuliza: “Uniambie ukweli, wewe ni mwanainchi wa Roma?” Paulo akamujibu: “Ndiyo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jemadari akaja, akamwambia, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndio.