Acts 23:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao walioapiana hivyo walipata zaidi ya watu arobaini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwa watu zaidi ya 40 waliofanya mpango huu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu zaidi ya arobaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao walioapiana hivyo walikuwa zaidi ya watu arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao walioapizana hivyo walikuwa wengi kupita 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao walioapiana hivyo walipata zaidi ya watu arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wale waliofanya shauri lile walikuwa zaidi ya watu makumi ine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hao walioapiana hivyo walipata watu arubaini.