Acts 23:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, “Sisi tumekula kiapo kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo tutakapokuwa tumemuua Paulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaenda kwa viongozi wa makuhani na wazee na kusema, “Tumeapa kwamba hatutakula chochote hadi tuwe tumemuua Paulo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaenda kwa wakuu wa makuhani na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo tusionje kitu hata tumwue Paulo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikwenda wakaongea na viongozi wa makuhani na viongozi wa wazee wa Wayahudi. Walisema, “Tumejiwekea nadhiri kwamba hatutakula wala kunywa mpaka tumemwua Paulo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, “Sisi tumeapa kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo tutakapokuwa tumemuua Paulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, “Sisi tumekula kiapo kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo tutakapokuwa tumemuua Paulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaendea viongozi wa makuhani na wazee na kusema, “Tumejifunga pamoja kwa kiapo kwamba hatutakula wala kunywa mpaka tumemwua Paulo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaendea viongozi wa makuhani na wazee na kusema, “Tumejifunga pamoja kwa kiapo kwamba hatutakula wala kunywa mpaka tuwe tumemuua Paulo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaenda kwa wakuu wa makuhani na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo tusionje kitu hata tumwue Paulo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, walikwenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, “Sisi tumekula kiapo kwamba hatutaonja chochote kwa vinywa vyetu mpaka hapo tutakapokuwa tumemuua Paulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaendea watambikaji wakuu na wazee, wakasema: Tumeapizana kwa kiapo ya kwamba: Tusionje kitu, mpaka tumwue Paulo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaenda kwa wakuu wa makuhani na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo tusionje kitu hata tumwue Paulo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaenda kuwaona Makuhani Wakubwa na wasimamizi wa watu na kuwaambia: “Sisi tumefanya kiapo; hatutasubutu kula kitu chochote mpaka tumwue Paulo kwanza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao wakaenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo, tusionje kitu hatta tutakapomwua Paolo.