Acts 23:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya jambo hili kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa karibu na Paulo wampige kofi kinywani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuhani Mkuu Anania akawaamuru wale waliosimama karibu naye wampige kinywa chake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Anania, kuhani mkuu alikuwa pale. Aliposikia hili, aliwaambia watu waliokuwa wamesisima karibu na Paulo wampige kwenye mdomo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo Kuhani Mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya jambo hili Kuhani Mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa karibu na Paulo wampige kofi kinywani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya jambo hili kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa karibu na Paulo wampige kofi kinywani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhani Mkuu Anania akawaamuru wale waliosimama karibu naye wampige kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji mkuu Anania alipowaagiza waliosimama hapo, alipokuwa, wampige kinywani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuhani Mkuu Anania akawaamuru wale waliosimama karibu naye wampige kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Paulo aliposema maneno hayo, Kuhani Mukubwa Anania akawaamuru wale waliosimama karibu naye wamupige kofi kwenye kinywa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kuhani akawaamuru wale waliosimama karibu kumpiga kinywa chake.