Acts 23:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu yeyote kwamba umenieleza habari hizi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniarifu haya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kamanda akamtoa kijana, akamwambia, “Usimwambie yeyote kuwa umeniambia kuhusu mpango wao.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu ye yote kwamba umenieleza habari hizi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu yeyote kwamba umenieleza habari hizi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniambia haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa kikosi akamwaga yule kijana, akamkataza kwamba: Usimwambie mtu, ya kuwa umenieleza haya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniarifu haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule jemadari akamwagiza yule kijana kwamba asimwambie mutu yeyote kwamba amemupasha habari hiyo, kisha akaagana naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awae yote ya kwamba umeniarifu haya.