Acts 23:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Klaudio Lisia. Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi. Salamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Klaudio Lisia kwa liwali mtukufu Feliki, Salamu!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kutoka kwa Klaudio Lisiasi. Kwenda kwa Mheshimiwa Gavana Feliki. Salamu:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Klaudio Lisia, Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi: Salamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Klaudio Lisia, Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi: Salamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Klaudio Lisia kwa mtawala mtukufu Feliki, Salamu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Klaudio Lisia nakuamkia wewe, mtawala nchi Feliki uliye na nguvu nyingi, salamu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Klaudio Lisia kwa liwali mtukufu Feliki, Salamu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mimi Klaudio Lusia, ninakuandikia wewe muheshimiwa Liwali Feliki, pokea salamu zangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Klaudio Lusia kwa liwali il aziz Feliki salamu!