Acts 23:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raia wa Rumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, wakawa karibu kumwua, ndipo nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata habari ya kuwa yeye ni Mrumi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya Wayahudi walimkamata mtu huyu na walikuwa karibu ya kumwua. Lakini nilipogundua kuwa ni raia wa Rumi, nilikwenda pamoja na askari wangu tukamwokoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumwua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya maaskari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raia wa Rumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raiya wa Rumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, wakawa karibu kumwua, ndipo nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata habari ya kuwa yeye ni Mrumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu huyu alikamatwa na Wayuda; nao walipotaka kumwua, nikaenda na kikosi cha askari, nikamwokoa, kwani nalisikia, ya kuwa ni Mroma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, wakawa karibu kumwua, ndipo nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata habari ya kuwa yeye ni Mrumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wayuda walikuwa wamemukamata mutu huyu na kutaka kumwua. Nami nilipopata habari kwamba yeye ni mwanainchi wa Roma, nikaenda na kundi la waaskari na kumwokoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, akawa karibu kuuawa nao, nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata khabari ya kuwa yeye ni Mrumi.