Acts 23:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya Baraza la Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikitaka kulijua lile neno walilomshitakia, nikamtelemsha nikamweka mbele ya baraza;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilitaka kufahamu kwa nini walikuwa wanamshitaki. Hivyo nikampeleka kwenye mkutano wa baraza lao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikitaka kulijua lile neno walilomshitakia, nikamteremsha nikamweka mbele ya baraza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami kwa hivyo, nilivyotaka kutambua, waliyomsuta, nikamshusha na kumweka barazani kwao wakuu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikitaka kulijua lile neno walilomshitakia, nikamtelemsha nikamweka mbele ya baraza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa kuwa nilitaka kujua sababu gani Wayuda walimushitaki, nikamufikisha mbele ya Baraza yao Kubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na nikitaka kuijua sababu hatta wakamshitaki, nikamleta chini nikamweka mbele ya baraza: