Acts 23:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wao wakarudi kwenye ngome ya askari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata asubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja naye, nao wakarudi zao ngomeni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata askari wa farasi walikwenda na Paulo mpaka Kaisaria, lakini askari wengine na wale wa mikuki walirudi kwenye jengo la jeshi mjini Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapanda farasi waendelee na safari pamoja na Paulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wakati wao walirudi kwenye ngome ya maaskari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wao wakarudi kwenye ngome ya askari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata asubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja naye, nao wakarudi zao ngomeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake wakawaacha wale wapanda frasi, waondoke pamoja naye, nao wenyewe wakarudi bomani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata asubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja naye, nao wakarudi zao ngomeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake waaskari waliotembea kwa miguu wakarudi Yerusalema kwenye upango wa waaskari. Wakawaacha waaskari wapanda-farasi waendelee pamoja na Paulo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta assubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja nae, nao wakarudi zao ngomeni.