Acts 23:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa liwali ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari wa farasi waliingia Kaisaria, wakampa barua Gavana Feliki, kisha wakamkabidhi Paulo kwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika Kaisaria kumpa mtawala ile barua, walimkabidhi pia Paulo kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Askari walipofika Kaisaria, walimpa mtawala ile barua, na kumkabidhi Paulo kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika Kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka Paulo chini ya mamlaka yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale walipofika Kesaria wakampa mtawala nchi ile barua, wakamsimamisha Paulo mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa liwali ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipofika Kaisaria, wakamupa liwali ile barua na kumuleta Paulo kwake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wale walipofika Kaisaria, wakampa liwali ile barua, wakamweka Paolo mbele yake. Nae alipokwislia kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa wilaya gani?