Acts 23:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Felisi alipoisoma hiyo barua aliwauliza Paulo ametoka mkoa gani. Alipofahamishwa kwamba alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtawala alipokwisha kuisoma ile barua alimuuliza Paulo alikuwa mtu wa jimbo gani. Alipojua kuwa anatoka Kilikia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipokwisha kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa jimbo gani? Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Gavana akaisoma barua na kumwuliza Paulo, “Unatoka jimbo gani?” Gavana alitambua kuwa Paulo alikuwa anatoka Kilikia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Felisi alipoisoma hiyo barua aliwauliza Paulo ametoka mkoa gani. Alipofahamishwa kwamba alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Felisi alipoisoma hiyo barua aliwauliza Paulo ametoka mkoa gani. Alipofahamishwa kwamba alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtawala alipokwisha kuisoma ile barua alimwuliza Paulo kwamba alikuwa mtu wa jimbo gani. Alipojua kuwa anatoka Kilikia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtawala alipokwisha kuisoma ile barua alimuuliza Paulo alikuwa mtu wa jimbo gani. Alipojua kuwa anatoka Kilikia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipokwisha kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa mkoa gani? Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Felisi alipoisoma hiyo barua aliwauliza Paulo ametoka mkoa gani. Alipofahamishwa kwamba alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuisoma hiyo barua, akamwuliza upande wa nchi, aliotoka. Aliposikia, ya kuwa ni mtu wa Kilikia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipokwisha kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa jimbo gani? Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Liwali akasoma barua ile na kumwuliza Paulo: “Wewe ni mutu wa jimbo gani?” Aliposikia kwamba yeye ni mutu wa jimbo la Kilikia,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipoarifiwa ya kuwa ni mtu wa Kilikia, akasema,