Acts 24:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu yeyote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine popote mjini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihojiana na mtu, au kufanya fujo katika mkutano, wala katika masinagogi wala ndani ya mji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wayahudi hawa wanaonishitaki, hawakuniona nikibishana na mtu yeyote wala kukusanya kundi la watu Hekaluni. Na sikuwa nabishana au kufanya vurugu kwenye masinagogi au mahali popote katika mji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu Hekaluni wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu ye yote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine po pote mjini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu yeyote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine popote mjini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihojiana na mtu, au kufanya fujo katika mkutano, wala katika masinagogi wala ndani ya mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hawakuniona hapo Patakatifu, nikiongea na mtu au nikiwachokoza watu, wainukiane, kama ni nyumbani mwa kuombea au mjini pengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihojiana na mtu, au kufanya fujo katika mkutano, wala katika masinagogi wala ndani ya mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawa hawakunikuta ndani ya hekalu wala ndani ya nyumba za kuabudia, wala nafasi ingine katika muji nikibishana na mutu au nikisukuma watu kufanya fujo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihujiana na mtu, wala nikifanya fujo katika mkutano, wala katika masunagogi wala ndani ya mji.