Acts 24:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayoleta dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu hawa hawawezi kuthibitisha mambo wanayoyasema dhidi yangu sasa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wanayonisuta sasa, hawawezi kuyatokeza kuwa ya kweli mbele yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawawezi kuyahakikisha mambo haya wanayonishitaki sasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao hawawezi kuhakikisha maneno wanayonishitakia sasa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala hawawezi kuyathubutisha mambo haya wanayonishitaki sasa.