Acts 24:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi Yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa tambiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi, baada ya miaka mingi nilikuja Yerusalemu ili kuwaletea watu wangu msaada kwa ajili ya maskini na kutoa dhabihu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya miaka mingi nalifika niwaletee watu wa taifa langu sadaka na matoleo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nimekuwa mbali na Yerusalemu kwa miaka mingi. Nilikwenda kule nikiwa na fedha za kuwasaidia watu wangu. Pia nilikuwa na sadaka za kutoa Hekaluni. Nilipokuwa nafanya hivyo, baadhi ya Wayahudi waliponiona pale. Nilikuwa nimemaliza ibada ya utakaso. Sikufanya vurugu yoyote, na hakuna watu waliokuwa wamekusanyika kunizunguka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi Yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa dhabihu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi Yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa tambiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi, baada ya kutokuwapo kwa miaka mingi nilikuja Yerusalemu ili kuwaletea watu wangu msaada kwa ajili ya maskini na kutoa dhabihu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi, baada ya kutokuwepo kwa miaka mingi nilikuja Yerusalemu ili kuwaletea watu wangu msaada kwa ajili ya maskini na kutoa dhabihu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya miaka mingi nilifika niwaletee watu wa taifa langu sadaka na matoleo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi Yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa tambiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mika ilipopita mingi, nikafika kwao wa taifa langu niwapelekee sadaka ya vipaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya miaka mingi nalifika niwaletee watu wa taifa langu sadaka na matoleo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Nyuma ya kupitisha miaka mingi mbali na muji, nilirudi kule Yerusalema kuwaletea watu wa taifa langu musaada wa mali na kumutolea Mungu sadaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baada ya miaka mingi nalifika niwaletee watu wa taifa langu sadaka na matoleo.