Acts 24:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya Baraza lao kuu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au, watu hawa walio hapa waseme ni kosa gani walilonipata nalo waliponisimamisha mbele ya Baraza la Wayahudi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au watu hawa wenyewe na waseme, ni kosa gani waliloliona kwangu niliposimama mbele ya baraza,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waulize watu hawa ikiwa waliona kosa lolote kwangu niliposimama mbele ya mkutano wa baraza kuu mjini Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya Baraza lao kuu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya Baraza lao kuu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au, watu hawa walioko hapa waseme ni uhalifu gani walioniona nao waliponisimamisha mbele ya baraza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au, watu hawa walioko hapa waseme ni uhalifu gani walioniona nao waliponisimamisha mbele ya baraza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au watu hawa wenyewe na waseme, ni kosa gani waliloliona kwangu niliposimama mbele ya baraza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au, waache hawa walio hapa waseme kosa waliloliona kwangu wakati niliposimama mbele ya Baraza lao kuu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa na waseme wenyewe, kama wameona upotovu kwangu, niliposimama mbele yao wakuu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au watu hawa wenyewe na waseme, ni kosa gani waliloliona kwangu niliposimama mbele ya baraza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au watu hawa wanaokuwa hapa waseme kosa waliloniona nalo wakati niliposambishwa mbele ya Baraza Kubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)