Acts 24:3 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wote na kila mahali, kwa namna yo yote, mtukufu sana Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu sana Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yote twayapokea na kukushukuru sana kila siku na kila mahali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa yote hatutasahau mambo hayo yote kila wakati na kila fasi, nasi tunakushukuru sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa tunapata amani nyingi chini yako, ee Feliki il aziz, na kwa maangalizo yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili, bassi tunayapokea killa wakati na killa mahali, kwa shukrani yote.