Acts 24:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni. [Tulitaka kumhukumu kufuatana na sheria yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na hata amejaribu kulinajisi Hekalu, hivyo tukamkamata. [Tukataka kumhukumu kufuatana na sheria zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena alijaribu kulitia hekalu unajisi; tukamkamata; [tukataka kumhukumu kwa sheria yetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia, alikuwa anajaribu kulinajisi Hekalu, lakini tulimsimamisha. Unaweza kuamua ikiwa haya yote ni kweli. Mwulize maswali wewe mwenyewe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena alijaribu kulikufuru Hekalu nasi tukamtia nguvuni. Kama ukimhoji wewe mwenyewe, utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo.” Tulitaka kumhukumu kufuatana na Sheria yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na hata amejaribu kulinajisi Hekalu, hivyo tukamkamata tukataka kumhukumu kufuatana na sheria zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na hata amejaribu kulinajisi Hekalu, hivyo tukamkamata; [tukataka kumhukumu kufuatana na sheria zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena alijaribu kulitia hekalu unajisi; tukamkamata; [tukataka kumhukumu kwa sheria yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena alijaribu kulikufuru hekalu, nasi tukamtia nguvuni. [Tulitaka kumhukumu kufuatana na sheria yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipojaribu kupachafua napo Patakatifu, ndipo, tulipomkamata tukitaka kumhukumu kwa Maonyo yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena alijaribu kulitia hekalu unajisi; tukamkamata; [tukataka kumhukumu kwa sheria yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye alijaribu kuchafua hekalu, lakini tukamukamata. [Tulitaka kumuhukumu kufuatana na Sheria yetu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tena alijaribu kuitia hekalu najis: tukamkamata: tukataka kumhukumu kwa sharia yetu.