Acts 25:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Washtaki wake walipoinuka kuzungumza, hawakumshtaki kwa uhalifu wowote kama nilivyotarajia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale waliomshitaki waliposimama hawakuleta neno lo lote baya, kama nilivyodhani,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wayahudi walisimama na kumshitaki. Lakini hawakumshitaki kwa makosa niliyodhani wangemshitaki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Washtaki wake waliposimama, hawakushtaki kwa uhalifu wo wote niliokuwa ninatarajia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Washtaki wake waliposimama, hawakushtaki kwa uhalifu wowote niliokuwa ninatarajia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale waliomshitaki waliposimama hawakuleta neno lolote baya, kama nilivyodhani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Washtaki wake walisimama lakini hawakutoa mashtaka maovu kama nilivyokuwa ninatazamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasutaji walipomwinukia, vibaya nilivyoviwaza moyoni, hakuna, walichomsingizia hata kimoja;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale waliomshitaki waliposimama hawakuleta neno lo lote baya, kama nilivyodhani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao washitaki wake waliposimama, hawakumushitaki juu ya neno baya kama nilivyokuwa ninawazia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wale waliomshitaki waliposimama karibu nae, hawakumshitaki neno baya, kama nilivyodhani,