Acts 25:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani kule Yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa sikujua jinsi ya kupeleleza jambo hili, nilimuuliza kama angependa kwenda Yerusalemu na kuhojiwa huko kuhusu mashtaka haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikaona shaka jinsi ya kutafuta hakika ya habari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemu ahukumiwe huko katika mambo haya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kuona kuwa sijui jinsi ya kuyachunguza mambo haya. Hivyo nilimwuliza Paulo, ‘Unataka kwenda Yerusalemu ili ukahukumiwe huko?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani kule Yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani kule Yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa sikujua jinsi ya kupeleleza jambo hili, nilimwuliza kama angependa kwenda Yerusalemu na kuhojiwa huko kuhusu mashtaka haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa sikujua jinsi ya kupeleleza jambo hili, nilimuuliza kama angependa kwenda Yerusalemu na kuhojiwa huko kuhusu mashtaka haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikaona shaka jinsi ya kutafuta hakika ya habari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemu ahukumiwe huko katika mambo haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. Basi, nilimwuliza Paulo kama angependa kwenda mahakamani kule Yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami kwa hivyo, nisivyojua mabishano kama hayo, nikamwuliza: Unataka kwenda Yerusalemu, uhukumiwe huko mambo hayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikaona shaka jinsi ya kutafuta hakika ya habari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemu ahukumiwe huko katika mambo haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ngambo yangu sikujua nifanye nini kwa kuchunguza ukweli wa mabishano hayo. Nikamwuliza Paulo kama anataka kwenda Yerusalema kusambishwa kule juu ya maneno yale.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nikaona mashaka jinsi ya kutafuta hakika ya khabari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemi ahukumiwe huko katika mambo haya.