Acts 25:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Festo alijibu, “Paulo atabaki kizuizini kule Kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Festo akawajibu, “Paulo amezuiliwa huko Kaisaria, nami mwenyewe ninaenda huko hivi karibuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Festo akajibu ya kwamba Paulo analindwa Kaisaria; naye mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Festo alijibu, “Hapana, Paulo ataendelea kuwekwa Kaisaria. Nitaenda huko mimi mwenyewe hivi karibuni,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Festo alijibu, “Paulo atabaki kizuizini kule Kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Festo alijibu, “Paulo atabaki kizuizini kule Kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Festo akawajibu, “Paulo amezuiliwa huko Kaisaria, nami mwenyewe ninakwenda huko hivi karibuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Festo akawajibu, “Paulo amezuiliwa huko Kaisaria, nami mwenyewe ninakwenda huko hivi karibuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Festo akajibu ya kwamba Paulo analindwa Kaisaria; naye mwenyewe yuko tayari kwenda huko karibuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Festo alijibu, “Paulo atabaki kizuizini kule Kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Festo akajibu: Paulo analindwa huko Kesaria, nami mwenyewe nitaondoka upesi kwenda huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Festo akajibu ya kwamba Paulo analindwa Kaisaria; naye mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Festo akajibu: “Paulo analindwa katika kifungo kule Kaisaria, na mimi mwenyewe nitaenda kule sasa hivi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Festo akajibu ya kama Paolo atalindwa Kaisaria; nae mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.