Acts 25:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waacheni viongozi wenu waende huko pamoja nami wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya chochote kiovu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya viongozi wenu wafuatane nami na kutoa mashtaka dhidi ya mtu huyo huko, kama amekosa jambo lolote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Wale walio na mamlaka kwenu na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na viongozi wenu wanaweza kufuatana nami. Kama mtu huyu hakika amefanya chochote kibaya, wanaweza kumshitaki huko.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waacheni viongozi wenu waende huko pamoja nami wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya chochote kiovu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waacheni viongozi wenu waende huko pamoja nami wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya chochote kiovu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya viongozi wenu wafuatane nami na kutoa mashtaka dhidi ya mtu huyo huko, kama amekosa jambo lo lote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya viongozi wenu wafuatane nami na kutoa mashtaka dhidi ya mtu huyo huko, kama amekosa jambo lolote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Wale walio na mamlaka kwenu na wateremke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waacheni viongozi wenu waende huko pamoja nami wakatoe mashtaka yao juu yake kama amefanya chochote kiovu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akasema: Wenzenu wanaoweza wafuatane nami, wamsute huko mtu huyo, akiwa ametenda neno lisilopasa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Wale walio na mamlaka kwenu na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wamoja kati ya wakubwa wenu waende pamoja nami Kaisaria nao wamushitaki kule ikiwa alifanya ubaya wowote.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, Wale walio na mamlaka na watelemke pamoja nami wakamshitaki, ikiwa liko neno baya katika mtu huyu.