Acts 25:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kujitetea, Paulo alisema, “Mimi sikufanya kosa lolote kuhusu sheria ya Wayahudi, wala kuhusu hekalu, wala kumhusu Kaisari.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Paulo akajitetea, akasema, “Mimi sikufanya jambo lolote kinyume cha sheria ya Wayahudi au dhidi ya Hekalu au kinyume cha Kaisari.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Paulo akasema akijitetea, Mimi sikukosa neno juu ya sheria ya Wayahudi, wala juu ya hekalu, wala juu ya Kaisari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Paulo alijitetea mwenyewe, akasema, “Sijatenda kitu chochote kibaya kinyume na sheria ya Kiyahudi, kinyume na Hekalu au kinyume na Kaisari.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa kujitetea, Paulo alisema, “Mimi sikufanya kosa lolote kuhusu Sheria ya Wayahudi, wala kuhusu Hekalu, wala kumhusu Kaisari.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kujitetea, Paulo alisema, “Mimi sikufanya kosa lolote kuhusu sheria ya Wayahudi, wala kuhusu hekalu, wala kumhusu Kaisari.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Paulo akajitetea, akasema, “Mimi sikufanya jambo lo lote kinyume cha sheria ya Wayahudi au dhidi ya Hekalu au kinyume cha Kaisari.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Paulo akajitetea, akasema, “Mimi sikufanya jambo lolote kinyume cha sheria ya Wayahudi au dhidi ya Hekalu au kinyume cha Kaisari.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Paulo akasema akijitetea, Mimi sikukosa neno juu ya sheria ya Wayahudi, wala juu ya hekalu, wala juu ya Kaisari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kujitetea, Paulo alisema, “Mimi sikufanya kosa lolote kuhusu sheria ya Wayahudi, wala kuhusu hekalu, wala kumhusu Kaisari.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Paulo akajikania akisema: Sikukosa wala Maonyo ya Wayuda, wala Patakatifu, wala Kaisari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Paulo akasema akijitetea, Mimi sikukosa neno juu ya sheria ya Wayahudi, wala juu ya hekalu, wala juu ya Kaisari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Paulo akajitetea, akisema: “Mimi sikufanya kosa lolote juu ya Sheria ya Musa, juu ya hekalu, wala juu ya Mufalme wa Roma.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Paolo akajitetea hivi, ya kama, Mimi sikukosa neno juu ya sharia ya Wayahudi, wiila juu ya hekalu wala juu ya Kaisari.