Acts 25:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Festo, akitaka kuwapendeza Wayahudi, akamuuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na kukabili mashtaka mbele yangu huko?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Festo akitaka kujipendekeza kwa Wayahudi akamjibu Paulo, akisema, Je! Wataka kwenda Yerusalemu, ukahukumiwe huko mbele yangu kwa ajili ya mambo hayo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Festo alitaka kuwaridhisha Wayahudi. Hivyo alimwuliza Paulo, “Unataka kwenda Yerusalemu ili nikakuhukumu huko kutokana na mashitaka haya?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Festo, akitaka kuwapendeza Wayahudi, akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na kukabili mashtaka mbele yangu huko?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Festo, akitaka kuwapendeza Wayahudi, akamuuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na kukabili mashtaka mbele yangu huko?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Festo akitaka kujipendekeza kwa Wayahudi akamjibu Paulo, akisema, Je! Wataka kwenda Yerusalemu, ukahukumiwe huko mbele yangu kwa ajili ya mambo hayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Festo alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, “Je, ungependa kwenda Yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kutaka kuwapendeza Wayuda Festo akamwuliza Paulo akisema: Unataka kupanda kwenda Yerusalemu, uhukumiwe huko mbele yangu kwa ajili ya mambo hayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Festo akitaka kujipendekeza kwa Wayahudi akamjibu Paulo, akisema, Je! Wataka kwenda Yerusalemu, ukahukumiwe huko mbele yangu kwa ajili ya mambo hayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Festo aliyetaka kujipendekeza kwa Wayuda, akamwuliza Paulo: “Unataka niende kukusambishia maneno haya kule Yerusalema?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Festo akitaka kujipendekeza kwa Wayahudi akamjibu Paolo, akisema, Wataka kwenda Yerusalemi, ukahukumiwe huko mbele yangu?