Acts 26:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa mujibu huohuo, nilikwenda Damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Siku moja nilipokuwa katika mojawapo ya safari hizi nikiwa ninaenda Dameski, nilikuwa na mamlaka na agizo kutoka kwa kiongozi wa makuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati fulani viongozi wa makuhani walinipa ruhusa na mamlaka kwenda katika mji wa Dameski.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kwa mujibu huohuo, nilikwenda Damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa mujibu huohuo, nilikwenda Damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siku moja nilipokuwa katika mojawapo ya safari hizi nikiwa ninakwenda Dameski, nilikuwa na agizo kutoka kwa kiongozi wa makuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siku moja nilipokuwa katika mojawapo ya safari hizi nikiwa ninakwenda Dameski, nilikuwa na mamlaka na agizo kutoka kwa kiongozi wa makuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa mujibu huohuo, nilikwenda Damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nikaenda hata Damasko, nilipokwisha kupata maelekezo na maagizo kwa watambikaji wakuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi kufuatana na kusudi, nikaenda katika muji Damasiki kwa amri na mamlaka ya wakubwa wa makuhani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi katika kazi hiyo nalikuwa nikienda Dameski, nimepewa mamlaka na maagizo na makuhani wakuu.